Roli lililokuwa limesheheni mzigo mkubwa wa makreti ya Bia, likiwa limeacha njia na kuingia mtaroni na kuangusha mzigo wote wa makreti ya Bia katika eneo la Kijiji cha Rungemba Wilaya ya Mafinga, kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto jana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
DKT NATU: TANZANIA NA UNICEF KUENDELEZA USHIRIKIANO
-
*Na. Joseph Mahumi, WF, Dodoma*
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, amekutana na
kufanya mazungumzo na Naibu Mwakilishi wa Shiri...
3 hours ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment