Nauibu Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akiazungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam leo, kuhusu maendeleo ya afya yake baada ya kurejea nchini ambapo amesema kuwa kwa hivi sasa anaendelea vizuri na kwamba yupo fiti kiafya, na tayari ameripoti ofisini rasmi leo kwa kuanza kazi. Mwakyembe hakutaka kuweka wazi kuhusu mambo mengine aliyokuwa akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu uvumi ulioenea juu ya afya yake na kusema mambo yote anaiachia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake.
Benki ya CRDB yazidi kuipa Tanzania hadhi katika masoko ya fedha ya dunia
-
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud
Thabit Kombo (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya
CRDB, Pro...
50 minutes ago

No comments:
Post a Comment