Baadhi ya wananchi waliokuwa wakiishi katika nyumba za Kota za Bandari zilizopo Mtaa wa Gerezani Kariakoo, wakijaribu kuokoa baadhi ya vifaa vya ujenzi baada ya nyumba zao kubomolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi muda mchache uliopita.
Nyumba hizo zimebomolewa ili kupisha mradi wa ujenzi wa Kituoa cha mabasi yaendayo kasi. Picha kwa hisani ya Blog ya Super D
Wabomoaji wakisimamia zoezi hilo....
Katapila likiendelea na zoezi la kubomoa nyumba hizo..
No comments:
Post a Comment