Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA BIASHARA WA CHINA IKULU LEO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao wakati mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo  kwa mazungumzo. Katikati yao ni mkalimani na wengine ni ujumbe wa Mh Jonzhao.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na  Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao  na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu Dar es salaam leo, kwa mazungumzo. Mawaziri wa Fedha Mh Mustafa Mkullo, Uchukuzi Dr Omar Nundu na Nishati na Madini Mh William Ngeleja walihudhuria mazungumzo hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.