Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi, akiruka juu katikati ya mabeki wa timu ya ES Setif wakati timu hizo zilipopambana katika kombe la Shirikisho kwenye uwanja wa Taifa leo. Katika mchezo huo Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0
Beki wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Amir Maftah, akimdhibiti mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo jioni kwenye uwanja wa Taifa. Picha Kwa Hisani ya mamapipiro
Sehemu ya mashabiki wa timu ya Simba waliofika kuipa sapoti timu yao. |
No comments:
Post a Comment