Raphael Hajji Lukindo, Pichani ambaye alikuwa ni Balozi Mstaafu, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana huko nchini India alikokuwa amepelekwa kwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani Pancrease.
Mwili wa marehemu unatarajia kuwasili nchini kesho mida ya saa saba mchana, Shughuli za Msiba zinafanyika Sinza A Mtaa Ikanga na Mazishi yanatarajia kufanyika siku ya Ijumaa katika Makaburi ya Kinondoni.
Habari ziwafikie:- Ndugu, Jamaa na Marafiki popote pale walipo.
Mungu alitoa, Mungu ametwaa
Jina la Bwana Lihimidiwe
No comments:
Post a Comment