Hii ni moja kati ya sehemu korofi katika Barabara mpya ya Bagamoyo, Chalinze ukiendelea ujenzi wa Daraja mahala hapa. Pindi Barabara hiyo itakapokamilika itatumika na mabasi ya abiria yote yanayofanya safari zake kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Tanzania, huku yale ya Morogoro, Dodoma, Singida Mwanza na maeneo ya Kati, yakiendelea kupita katika barabara Morogoro.
Barabara hiyo itapia eneo hili ambalo ni hatari nyakati za mvua kama inavyoonekana likitawaliwa na utelezi. Lakini tayari Lami imeshafika maeneo ya Kiwanga mjini kuelekea bagamoyo.
No comments:
Post a Comment