Gari hili linaloegeshwa mitaa ya karibu na Benki Kuu jijini Dar es Salaam, na kutoa huduma ya kuuza vyakula kwa wateja wake waliozoea kupata Menu Bomba kutoka katika gari hilo, likiwa limebanjuka upande baada ya kugonga mti wakati likikwepa msafara wa kiongozi mitaa ya Karimjee leo. Ubabe wa madereva wengi wanajifanya kujua kila ama zarau ndiyo mara nyingi husababisha ajali kama hizi, kwani dereva huyu alikutana na Pikipiki iliyokuwa ikipiga king'ola na gari la Polisi likisafisha njia, lakini dereva huyu bado aliendele na safari yake tu huku akitaka apishane na msafara huo je ni kutoelewa kwa baadhi ya madereve au ni ubabe wa kijinga?
RAIS MWINYI AWASISITIZA WANANCHI KUENDELEA KUIOMBEA NCHI AMANI
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na Wananchi kwa
ujumla k...
39 minutes ago

No comments:
Post a Comment