Kocha wa mchezo wa Masumbwi, Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia, Francis Cheka, katika kambi yake jijini Dar es salaam. Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi ya wiki hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari. Cheka ametamba kuibuka na ushindi katika pambano hilo na kuondoka na gari analodai ameandaliwa yeye. Picha na Super D
DKT.MWINYI: AJIRA KWA VIJANA KUWA SERA MAMA YA SERIKALI IJAYO
-
Pangawe, Zanzibar – 01 Oktoba 2025
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti ...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment