Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini
kitabu cha maomboleo ya aliyekuwa Rais wa Malawi, Dkt. Bingu wa Mutharika,
katika Ofisi za Ubalozi wa Malawi nchini, zilizopo Mikocheni jijini Dar es
Salaam leo, Kulia ni Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossie
Asekanao Gomile-Chidyaonga.
NSSF: Wananchi Waliojiajiri Jiungeni, Jiwekeeni Akiba kwa Kesho Yenye
Uhakika
-
Dar es Salaam, Julai 10, 2026
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewahimiza wananchi waliojiajiri
nchini kujiunga na kuchangia katika Mfuko huo il...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment