Habari za Punde

*MISS UKONGA WAJIFUA KWA KASI YA AJABU

Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka Malikia wa Kitongoji cha Ukonga jijini Dar es Salaam 2012 wakiwa katiika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano hilo jana. Shindano la Miss Ukonga linatarajia kufanyika Mei 5,2012 katika ukumbi wa Wenge Garden-Ukonga Mombasa.  Picha na Father Kidevu
Baadhi ya warembo wanaotarajia kushiriki shindano la Miss Ukonga 2012 wakipozi katika picha ya pamoja wakati wakimsikiliza msanii nguli wa Filamu na Maigizo nchini, Single Mtambalike "Rich Rich" wakati alipokuwa akizungumza nao jana katika kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam. Shindano la Miss Ukonga linatarajia kufanyika Mei 5,2012 katika ukumbi wa Wenge Garden-Ukonga Mombasa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.