Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania U20 kutoka kulia Thomas Ulimwengu, Hassan Ramadhan na Frank Sekule wakishangilia baada ya Thomas Ulimwengu, kufunga bao la kwanza dhidi ya Sudan U20 wakati wa mchezo wao uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa leo jioni jijini Dar es salaam. Haadi mwisho wa mchezo huo Heroes iliibuka na ushindi wa mabao 3-1.
Maono ya Rais Samia kufanikisha maridhiano, Katiba
-
Tanzania imebarikiwa kuwa na kiongozi wa kipekee, Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan, mwanamke mwenye moyo wa taifa, mwenye maono ya mbali, na
asiyejikita ka...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment