• Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Mazingira
  • Jamii
  • Siasa
  • Bunge
  • Habari Picha
  • Michezo
  • Burudani
SUFIANIMAFOTO

Habari za Punde

Home *MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI, MAN WATER KUTOA ZAWADI KWA ALLY KIBA NA MBATIZAJI

*MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI, MAN WATER KUTOA ZAWADI KWA ALLY KIBA NA MBATIZAJI

sufianimafoto Thursday, April 05, 2012
 MTAYARISHAJI wa muziki nchini 'Producer', Man Water (Man Maji),anaendelea na program yake aliyoianzisha ya kutoa zawadi kwa wasanii waliorekodi katika studio yake ya COMBINATION SOUNDS,na nyimbo za wasanii hao kuweza kufanya vizuri katika vituo vya redio hapa nchini na nje ya nchi.

Program hiyo aliyoipa jina la kutoa shukrani kwa wasanii ambao kwa namna moja ama nyingine wanakuwa wanaitangaza studio yake vyema na kumfanya yeye kuweza kujulikana na kupata kazi nyingi zaidi, aliinza kwa msanii 20 percent,ambapo alikuwa ndio msanii wa kwanza kuweza kupewa zawadi na Man water,Kwa kumnunuliwa baadhi ya vyombo vya muziki.

Mwaka huu pia,Man Water tayari ameshatangaza nia yake hiyo ya kutoa zawadi kwa wasanii wawili waliorekodi nyimbo zao katika studio yake ya COMBINATION SOUNDS, ambao aliwataja kuwa ni ALLY KIBA na Mbatizaji, Kiba ni msanii ambaye nyimbo yake ya DUSHELELE iliweza kufanya vizuri na kukubalika sana.

''Dushelele ni nyimbo iliyoweza kufanya vizuri na kushika chati mbalimbali katika radio stations na Tv stations  za hapa nchini Tanzania na hata nnje ya nchi, Ally Kiba ni msanii mzuri mwenye kipaji na anaamini kwamba ni mmoja kati ya wasanii waliopo nchini Tanzania ambao wanaweza kuufanya muziki huu kuwa bora zaidi na kuutangaza nje ya mipaka ya Tanzania kwa urahisi zaidi, nitaendelea kufanya kazi na msanii huyu ili kuweza kutengeneza nyimbo zenye ubora zaidi na kuendelea kuwaelimisha na kuwaburudisha wapenzi wa muziki huu wa kizazi kipya''. alisema Man Water

MBATIZAJI,ni msanii wa pili atakayeibuka na zawadi hiyo, baada ya nyimbo yake ya HESHIMA KAZI, kuweza  kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio na television vya  hapa nchini.

''Mbatizaji ni mmoja kati ya wasanii wenye tungo zenye maadili na kufundisha jamii ambaye kwa mara ya kwanza nilikutana na Mbatizaji (kipindi hicho akijulikana kwa jina la MASTA’ BROS) mkoani Morogoro mwaka 2003 na kuweza kusikia nyimbo zake kama “BARUA KWA MAMA” na “NINI MAANA YA MAISHA”  na kuona uwezo mkubwa alionao katika utunzi wa nyimbo zake,ndipo mwaka 2005,wakati niliwa nafanya kazi katika moja ya studio zilizopo mkoani Morogoro,nikamrekodia wimbo uliojulikana kwa jina la “KIPI HASA?”,

Wimbo huu ulipigwa katika midundo ya kapuka (staili kutoka Uganda), Mwaka jana Mbatizaji aliingia katika studio za COMBINATION SOUNDS na kutaka kurekodi wimbo wa HESHIMA KAZI, kwa kweli nilifurahishwa sana na ujumbe uliopo ndani ya whuo na kummwagia sifa nyingi msanii huyu,ndipo wakati akiwa anamuelekeza MBATIZAJI baadhi ya sehemu,wakajikuta wakiamua kuuimba wimbo huo pamoja ili kuupa radha na ubora zaidi.

“Unajua ninaufahamu uwezo wa Mbatizaji so kwa wimbo bora kama ule hata mimi ulinipa mzuka wa kuweza kuimba na kurekodi,na naamini hatutoishia katika heshima kazi tu,tuna mpango wa kufanya kitu tofauti zaidi na hasa ukizingitia Mbatizaji naye pia ni mtayarishaji wa muziki so tunaounganisha ujuzi na kutoka na kitu cha ukweli''. alisema Man Water
 
 
  • Blog Comments
  • Facebook Comments

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MATANGAZO MADOGO MADOGO

MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com

BLOGU RAFIKI

  • JIACHIE
    Serikali Yatoa Rai kwa NIT Kuzalisha Wataalamu wa Usafiri wa Kimataifa - Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Julai 24, akipata maelezo wakati alipotembelea chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) jijini Dar es Salaam l...
    4 hours ago
  • LENZI YA MICHEZO
    Mpogolo atangaza vita dhidi ya madanguro Ilala - MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametangaza msako mkali dhidi ya madanguro na vitendo vya ukiukwaji wa maadili, akisisitiza kuwa Serikali hait...
    1 day ago
  • MICHUZI
    UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB - 📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo Na Mashaka Mhando, Muheza. MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
    1 day ago
  • MTAA KWA MTAA BLOG
    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Kuongoza Washiriki 13,000 NBC Dodoma Marathon. - · RC Dodoma awasihi madereva kutumia ‘ring road’ kuepusha foleni, kuhakikisha usalama wa washiriki. Dodoma, Julai 22, 2026: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muu...
    2 days ago
  • PAMOJA
    NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MZUMBE - Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na len...
    2 days ago
  • BIN ZUBEIRY
    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC - KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao. Anakuwa mc...
    4 days ago
  • Wazalendo 25 Blog
    Bridging the Gap: JAB to Partner with Bloggers Network on Training - *Tanzania Bloggers Network (TBN) Chairman Beda Msimbe (left) meets with the Journalism Accreditation Board’s Acting Director General, Advocate Patrick K...
    1 week ago
  • LUKAZA
    TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...
    7 months ago
  • TZA
    Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...
    1 year ago
  • BongoCelebrity
    - [image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio] Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio alt=”” class=”w...
    2 years ago
  • HABARI NA MATUKIO
    BODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI - * Mhandisi Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Moses Salumbi (kushoto), akiweka alama za ukomo wa maji ya mafuriko kwenye Maziwa ya Kindai na...
    6 years ago
  • Mzuka wa Fungo
    MSANII DIAMOND AZINDUA WIMBO WA COLOURS KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI - Cathbert Kajuna To:amichuzi,othmanmichuzi,MUHIDIN MICHUZI,Geofrey Adroph Bcc:fungoomar@yahoo.com May 15 at 6:00 AM Msanii Diamond akipagawisha mashabiki wa...
    8 years ago
  • MTOTO WA KITAA
    RAIS JOHN MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA JCA NA BALOZI WA JAPAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shini...
    8 years ago
  • NASMAMAFOTO
    JOSE MOURINHO HAS REPORTEDLY 'SHOKED' SOME OF HIS MANCHESTER UNITED PLAYERS - *Jose Mourinho might have hoped for a longer honeymoon at Manchester United, but three defeats in a row, in the space of a week, have led to the first maj...
    9 years ago
  • Mbeya Yetu
    TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI - Je? Unaumwa au unasumbuliwa na matatizo yoyote kiafya? Unahitaji msaada wa haraka, tuna virutubisho sahihi kuondoa magonjwa kama kisukari, presha, uvimb...
    10 years ago
  • Bongo Newz Corner
    DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE' - Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo ambal...
    11 years ago
  • NEW HABARI BLOGSPOT.COM
    SIMBA ILIPOWASHANGAZA MASHABIKI WA SOKA JANA,ILIPOCHOMOA MABAO 3 NA KULAZIMISHA SARE YA 3-3 - * Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akiwania mpira na kipa wa Simba Abel Dhaira, wakati wa kipindi cha pili cha mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanza...
    12 years ago
  • Maisha Yetu
    -
  • MTANZANIA HALISI
    -
  • K-VIS BLOG
    -
  • Saluti5- Tanzania
    -

WALIOTEMBELEA BLOG HII

Followers

Labels

  • BUNGE
  • Burudani
  • HABARI PICHA
  • Habari
  • Michezo
  • Siasa

Zilizosomwa Zaidi

  • UNDP YAJENGA VYOO VYA SHILINGI MILIONI 510 KUSAIDIA USAFI KILIMANJARO
    Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini ,Alvaro Rodriguez pamoja na Mkuu wa wilaya ya Mosh...
  • WCF YAWAPIGA MSASA WAAMUZI, WASULUHISHI NA MAKATIBU MUHTASI KUTOKA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)
    Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala, Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bw.Peter Kalonga, (kushboto), akijadiliana jambo ...

SUFIANIMAFOTO Mafoto Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.