Askari wa Usalama Barabarani, wakizungumza na dereva na abiria waliokuwa katika gari aina ya Suzuki yenye namba za Usajiri Z 484 DC, baada ya kuikamata maeneo ya Tunguu mjini Zanziba, hivi karibuni ikiwa imejaza mzigo ulioizidi uwezo na abiria huku ikipita katika barabara inayotumiwa na magari mbalimbali, jambo ambalo linaweza kusababisha ajali. Lakini baada ya askari hao kulikamata gari hili 'Stori; zilitawala zaidi kuliko kazi jambo lililoifanya kamera ya Sufianimafoto kushindwa kujua mwisho wa kamata hii ilikuwaje na kuamua kuondoka maeneo hayo na kuwaacha wakiendelea na stori huku wakilizunguka gari hilo kila kona.
JAB YAZINDUA MWONGOZO WA ITHIBATI YA MAISHA KWA WAANDISHI WA HABARI WAKONGWE
-
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa
Kisheria wa Utoaji wa Ithibati ya Maisha kwa Waandishi wa Ha...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment