Habari za Punde

*NANI MWENYE MAKOSA, ALIYE OVERTAKE KUSHOTO AU ALIYEKUWA AKIKUNJA KUINGIA KAWE?

*MADEREVA WA PIKIPIKI BADO WANAHITAJI ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Pichani ni Dereva wa Pikipiki yenye namba za usajiri T 825 BWC na abiria wake wakimshambulia na kumtuhumu dereva wa gari ndogo aina ya Suzuki, baada ya gari hilo kuwa'push' wakati likikata kona kuelekea Kawe, eneo la Njia Panda ya Kawe mwishoni mwa wiki, wakati Pikipiki hiyo ikiwa imetanua upande wa (kushoto) ikiovertake kukwepa foleni na kukutana na gari hilo na kusukumwa na kuanguka huku dereva na abiria wake wakiwahi kuruka na kuiacha Pikipiki. Baada ya ajali hiyo dereve na abiria wake walimzonga dereva wa gari huku wakijiona kuwa wao ndiyo walikuwa na haki ya kupita kwa staili waliyokuwa wakitumia. Sasa Nani mwenye makosa hapa?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.