Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Kiongozi wa ujumbe wa Serikali ya mpito ya Lybya baada ya mazungumzo wakai walipofika Ofisini kwake Ikulu, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Picha na Ikulu
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na uumbe wa Serikali ya Taifa ya Mpito ya Libya, ukiongozwa na Mheshimiwa Mahdi M Gaziri (watatu kushoto.), Mkuu wa Ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali hiyo, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa rais Ikulu Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment