Habari wadau, naomba muisome kwa makini, wale ambao hamjafika umri wa miaka 30 mjaze kuomba hiyo nafasi, mwisho ni Ijumaa wiki hii. Ni rahisi sana namna ya kutuma nenda mahali palipoandikwa Click here for more details. Ukibofya hapo mambo yatakuja. Ni muhimu sana hasa kwa waandishi chipukizi au wale wa pasipoti zenu hazijazidi umri wa miaka 30.
Nawasilisha. Amir Mhando, Katibu Mkuu TASWA
|
PIONEERING ARCHITECT BEDA AMULI REMEMBERED WITH A WALK THROUGH HIS LEGACY
-
*Families, architects, students and members of the public gathered at dawn
on Saturday, 11 July 2026, for a memorial walk honouring the late Beda
Amuli,...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment