Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Finland nchini, Antila Sinikka, wakati alipotembelea Ofisi za Bunge, mjini Dodoma jana. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Askofu Mwankenja ahimimiza watanzania kupiga kura Oktoba 29
-
Na Mwandishi Wetu
Askofu wa Kanisa la Furahini katika Bwana la jijini Dar es Salaam
Dkt.Ezekiel Mwankenja amesema kuwa Watanzania kujitokeza katika kupiga ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment