Kwa baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Lindi, wao kwao nyumba ya bati si bora zaidi kuliko Dishi la kuwawezesha kupata mawasiliano ama kunasa taarifa mbalimbali zinazoendelea kote duniani, kama ambavyo kamera ya Sufianimafoto iliweza kunasa picha ya nyumba hii ikiwa pembezoni mwa Barabara kuu iendayo Dar es Salaam, ikiwa imeezekwa kwa nyasi lakini ikiwa na Dish nje ya nyumba hiyo huku pia ikiwa haina umeme, ikiwa pia imezungushiwa Fensi ya nyasi.
Dish ni bora kuliko nyumba bora.....
No comments:
Post a Comment