Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza
(kushoto) akimkabidhi mshindi wa pili wa droo kubwa ya mwezi ya promosheni ya
M-Pesa Bw. Revocatus Mkama, fedha taslimu shilingi milioni kumi katika
hafla fupi iliyofanyika katika Makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City
jijini Dar es salaam leo.
Mshindi wa pili wa droo kubwa ya mwezi ya promosheni
ya M-pesa Bw. Revocatus Mkama ambaye ni mkazi wa Mwanza anayejishughulisha na
ufundi wa magari akifurahia kitita cha shilingi milioni kumi alizoshinda
kupitia promosheni ya M-pesa mara baada ya kukabidhiwa fedha hizo na Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (katikati) Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Wateja wakubwa wa
Vodacom Tanzania Bi. Mwamvita Makamba.
No comments:
Post a Comment