Habari za Punde

*ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, MJUMBE WA KAMATI KUU CCM MKOA KUSINI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi,wa Jimbo la Mwambe Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba, alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya hiyo. Picha na Ramadhan Othman,Pemba


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kadi ya Uanachama wa CCM Zulekha Yussuf Simai,baada ya kujiunga na chama hicho, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jana katika mkutano wa kuimarisha Chama jimbo la Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba. Jumla ya wanachama 189
walikabidhiwa kadi zao.
 Wanachama wapya wa CCM wa Jumuiya tafauti za Chama hicho wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Ali Mohamed Shein.
 Mwanachama mpya wa CCM,aliyetoka CUF,Juma Khamis Omar,alipokuwa akijitambulisha kwa Wanachama wa CCM Jimbo la Mwambe Kusini Pemba,wakati wa Mkutano wa Uimarishaji wa Chama hicho,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Ali Mohamed Shein,alihutibia katika mkutano huo.
 Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.