Bondia Iddy Mnyeke (kushoto) akiwa katika mazoezi na Vitor Njait, ikiwa ni sehemu ya mazoezi yake yanayoendelea katika kambi ya ngumi ya Ilala. Mnyeke anajiandaa na pambano lake na Fadhiri Awadhi linalotarajia kufanyika June 9, mwaka huu katika ukumbi wa Frensi kona Manzese Dar es salaam .Picha na Super D
DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA DIWANI AGNES NASANIA WILAYANI
IRAMBA
-
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu Juni 1, 2026 ameshiriki
ibada ya mazishi ya Diwani wa Kata ya Shelui, Mhe. Agnes Nasania,
iliyofanyika kat...
30 minutes ago
No comments:
Post a Comment