MABONDIA James Mokiwa na Ramadhan Kumbele, wanatarajia kupima uzito na afya zao kesho Jumamosi saa tatu na nusu asubuhi 3:30, kwa ajili ya kujiandaa na pambano lao la ubingwa wa Taifa, litakalofanyika katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni siku ya Jumapili Mei 20.
Wanahabari wote mnakaribishwa katika zoezi hilo la maandalizi ya pambano la ubingwa wa Taifa (TPBO)
WEST COMMUNICATION & GENERAL SUPPLY KWA USHIRIKIANO NA BIG RIGHT PROMOTION.
WANAKULETEA PAMBANO LA NGUMI LA UBINGWA WA TAIFA (TPBO) KATI YA RAMADHAN KUMBELE (TMK) NA JAMES MOKIWA (KINONDONI) PAMBANO LA RAUNDI 10 UZITO WA BUNTAM.
PAMBANO LITAKALOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI SIKU YA JUMAPILI KUANZIA SAA NANE MCHANA LIKITANGULIWA NA MAPAMBANO YA UTANGULIZI.
PAMBANO HILI LIMEKUJIA KWA UDHAMINI WA MTANDAO WA WWW.SUFIANIMAFOTO.BLOGSPOT.COM, STUDIO YA SPM:- SUFIANI PHOTO MAGIC ILIYOPO KINONDONI MKWAJUNI NA CHRP,
EBWANAEEE! NGUMI KWANZA MAZUNGUMZO BAADAYE, YES LAZIMA UKAE!!!!!
No comments:
Post a Comment