Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ASAINIANA MKATABA NA MAKAMU WA RAIS WA KWANZA WA IRAN WA MAKUBALIANO YA PAMOJA KATI YA IRAN NA TANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakisainiana mkataba wa makubaliano ya pamoja ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili,  wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Amour Nassor-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakibadilishana mkataba baada ya kusainiana mkataba huo wa makubaliano ya pamoja ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili,  wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.