Ni sehemu ya sura nzuri inayovutia ya Ziwa Manyara lililopo Mkoa wa Manyara Wilaya ya Babati, kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto hivi karibuni.
Kilimo cha Ufuta mkoani Manyara kimeshamiri na kuwapatia Riziki wakaazi wa Mkoa huo, kama inavyoonekana katika Shamba hili wakulima wakiwa tayari wameshakusanya Ufuta wao kwa ajili ya kujiandaa kupia ili kupata mavuno ya zao hilo. Baada ya kuvua wakulima hufunga ufuta mafungu kwa mafungu na kuukusanya shambani hapo wakisubiri ukauke na kupiga ili kupata zao kamili.
No comments:
Post a Comment