Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Da es salaam leo kwa mazungumzo. Picha Zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Bw. Filberto Sebregondi, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, leo.
No comments:
Post a Comment