Bi. Christiana Figeres, Executive Secretary wa United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC) akifungua mkutano wa kimataifa wa sayansi na taaluma wa mabadiliko ya tabia nchi, Mjini Bonn Ujerumani.
Pichani Kulia, Bw Richard Muyungi Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Ya Ofisi wa Makamu wa Rais, ambae Pia ni mwenyekiti wa Dunia wa kamati ya sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi, pamoja na washiriki wengine katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya Tabia nchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani
Mbele Kulia, Bwana Alfonce Bikulamchi, Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais akifuatilia kwa umakini ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi na Taaluma wa masuala ya mabadiliko ya Tabia Nchi unaondelea Mjini Bonn Ujerumani. Picha na Evelyn Mkokoi, Bonn
No comments:
Post a Comment