Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za
Ofisi za Wizara hiyo. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana. Kushoto ni Makamu wa
Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, na (katikati) ni Waziri wa Wizara hiyo Haroun Ali Suleiman, na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee. Picha na Ramadhan Othman,IKULU
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, wakati akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo Ikulu Mjini Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment