Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo Ikulu Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. Picha na Ramadhan Othman,IKULU
KITUO CHA UMAHILI MLOGANZILA KUIMARISHA HUDUMA ZA MOYO, KINYWA NA MENO
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
UJENZI wa kitengo cha kutoa huduma za kinywa na meno katika Chuo Kikuu cha
Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kamp...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment