Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Khamis Jabir Makame, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akimuapisha, Mdungi Makame Mdungi, kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, wakati wa hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana, (kushoto) Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
No comments:
Post a Comment