Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo),katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi hiyo Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman,IKULU
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UKARABATI MKUBWA WA RELI
YA TAZARA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi amesema ukarabati wa reli ya TAZARA utaimarisha Ukanda wa Kati na
Kusi...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment