Ni Barabara ya Bibi Titi karibu na Mahakama ya Kisutu, majengo mawili yanayopendezesha jiji hususan eneo hilo. Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuwa na majengo kadhaa marefu ya ghorofa ambayo miongoni mwake ni jengo hili (kushoto) lililokamilika hivi karibuni, ambalo pembeni yake pia kuna jengo jingine linaloendelea kujengwa ambalo linakisiwa kuwa kubwa (refu) kuliko yote ya jijini.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
2 days ago

No comments:
Post a Comment