Habari za Punde

*TANZANIA YAJIPANGA KUWEKA MAZINGIRA YA UPATIKANAJI WA MSAADA WA KISHERIA.

 Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angela Kairuki, akisoma hotuba wakati akifungua rasmi warsha ya  Mpango wa Msaada wa Kisheria Barani Afrika iliyoandaliwa na UNDP  na kuhudhuriwa na wadau wa masuala ya sheria kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakiwemo wenyeji Tanzania.

Katia ufunguzi huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam Mh. Kairuki amesema Serikali ya Tanzania imefanya jitihada mbalimbali za kuboresha huduma za misaada ya Kisheria haswa kwa watu ambao ni vigumu kupata msaada huo, ambao wengi wao wanaishi katika maeneo ya vijijini.

Kauli mbiu ya Warsha hiyo ni " Taking Forward Legal Aid Programming in Africa: Experiences and Lessons in Policy and Programming".
 Baadhi ya wadau wa masuala ya sheria kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakiwemo wenyeji Tanzania wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki.
 Baadhi ya wadau wa masuala ya sheria kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakiwemo wenyeji Tanzania wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki.
Baadhi ya wadau wa masuala ya sheria kutoka mataifa mbalimbali Barani Afrika wakiwemo wenyeji Tanzania wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.