Mwenyekiti wa (PAC) John Cheyo (Mwenye koti),Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile(mwenye Kaunda ya blue) pamoja na Wajumbe ya Kamati ya (PAC) na baadhi ya Uongozi wa watendaji wa serikali Mkoani DSM wakikgua baadhi ya makazi ya waathirika wa mabomu ya Mbagala Mkuu jana.
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Mwenyekiti wa Kamati ya PAC John Cheyo (kulia) wakiagana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Peniel Lyimo baada ya kumaliza ziara ya kutembelea na kuzungumza na waathirika wa Mabomu ya Mbagala Kuu jana.
Mwenyekiti wa (PAC) John Cheyo (Mwenye koti),Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile(mwenye Kaunda ya blue) pamoja na Wajumbe ya Kamati ya (PAC) na baadhi ya Uongozi wa watendaji wa serikali Mkoani DSM wakikgua baadhi ya makazi ya waathirika wa mabomu ya Mbagala Mkuu jana.
Baadhi ya Waathirika wa mabomu ya Mbagala wakiwa katika mkutano na Kamati ya PAC.
Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (mwenye Kaunda ) akiwasikiliza baadhi ya waathirika wa mabomu ambao wamechukua hundi yao ya malipo na kuwawezesha kukabati makazi yao . Mbunge Ndugulile aliongozana na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inayoongozwa na Mwenyekiti wake John Cheyo hayupo Pichani.
Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustini Ndugulile (wa pili kushoto), akizungumza na baadhi ya viongozi na waathirika wa mabomu ya Mbagala Kuu baada ya kumaliza kikao ambacho waathirika hao walikutana na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na kutoa malalamiko mbalimbali ikiwemo madai ya kupunjwa malipo ya fidia, Mabomu ya Mabagala Kuu yaliyotokea mwaka 2009 jijini Dar es Salaam na kusababisha maafa makubwa na vifo vya wakazi hao.
No comments:
Post a Comment