Habari za Punde

*ZANZIBAR KUMECHAFUKA VURUGU ZIMETANDA WAANDAMANAJI WANACHOMA MOTO MADUKA

 Mmoja kati ya waandamanaji wa nkundi la Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara la Visiwani Zanzibar, ambaye hakuweza kufahamika jina lake,akiwa ameshika kitambaa kilichojaa damu wakati wakiandamana katika mitaa ya mjini Zanzibar leo asubuhi na kusababisha vurugu kubwa huku wakichoma moto moja ya Kanisa na baadhi ya magari waliyokuwa wakikutana nayo katika njia walizokuwa wakipita. Hivi sasa Waandamanaji hao wanaelekea maeneo ya Amani Daraja Bovu, ambako wameanza kumwaga mafuta ya Petroli katika maduka na kuyachoma moto.
Waandamanaji wa Kundi la Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam, wakiwa katika maandamano hayo leo asubuhi mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.