Habari za Punde

*ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR WILAYA YA KATI UNGUJA NA KOANI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dkt. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheti cha utambulisho kwa wananchi wa Jimbo la Koani Makada wa CCM, Bi Naila Jidawi, akiwa ni miongoni mwa  waliochangia kufanikisha matembezi ya mshikamano, sherehe hizo zilifanyika jana huko Ofisi ya Wadi ya CCM
Koani shehia ya kidimni Wilaya ya Kusini Unguja jana. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akifunua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha Afya cha Mwera Pongwe jana, akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kati Unguja wakati akitembelea Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya kijamii katika Mkoa wa Kusini Unguja.ujenzi huo umefadhiliw na mwekezaji kutoka nchini Italy Dominic Palumbo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.