Chanzo cha ajali hii hakikuweza kufahamika mapema, ambapo Roli hili lilikuwa limebeba Katapila hili la kuchongea barabara na kuangua eneo la Africana Mbezi Beach, kama ilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto, leo asubuhi.
TANZANIA YABEBA TUZO NNE ZA JUAKALI KIGALI
-
Tanzania imeibuka mshindi na kupata tuzo nne kati ya sita katika Maonesho
ya 26 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Afrika Mashariki, maarufu kama
Jua...
36 minutes ago

No comments:
Post a Comment