MO BLOG: Hebu izungumzie familia yako kwa sababu mengi yamesemwa na hatupendi kuyarudia.
KASEBA: Mmmh! mimi kwa upande wangu kwanza kabisa nampenda sana mke wangu, nawapenda ndugu zangu, pia nawapenda sana wazazi wangu na siku zote namshukuru mwenyezi mungu na naamini hiyo ni moja wapo ya mafanikio yangu, kwa kuwa kila ninachohangaikia nahaingikia kwa sababu ya familia yangu,
Lakini hili la kufanya mapenzi kabla ya kupanda ulingoni, sidhani kama linaukweli wowote.
No comments:
Post a Comment