Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon (kushoto) mkewe, wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu, wa Umoja huo, Dkt. Asha-Rose Migiro na Mumewe, Profesa Cleophas Migiro, wakisubiri kusalimiana na wageni waalikwa wakati wa hafla ambayo Ban Ki Moon aliandaa maalum kwa ajili ya kumuaga msaidizi wake huyo wa Karibu.
Naibu Katibu Mkuu, anayemaliza muda wake, Dkt. Asha-Rose Migiro, akizungumza wakati wa hafla hiyo, iliyoandaliwa na Katibu Mkuu wa UN ambapo Mhe. Ban Kii Moon alitumia fursa hiyo kumteua Dkt. Asha-Rose kuwa ni mjumbe maalum wa masuala ya ukimwi na ugonjwa wa ukimwi Barani Afrika.
No comments:
Post a Comment