Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama,akimkabidhi Trekta, Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj, Omary Kariati, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Trekta hilo limenunuliwa kutoka Suma J KT, kwa ajili ya Chama Cha Maendeleo ya Kata hiyo ya Kwadelo chini ya Kwadelo Ward Development Commitee (KWDC).
DKT.MWINYI: AJIRA KWA VIJANA KUWA SERA MAMA YA SERIKALI IJAYO
-
Pangawe, Zanzibar – 01 Oktoba 2025
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment