Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, wakimwingiza kwenye gari la wagonjwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Steven Ulimboka, kumpeleka kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI) baada ya kufikishwa hospitali hapo leo, baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kudaiwa kupigwa na watu wasiojulikana, waliomteka usiku wa kuamkia leo, katika eneo la Mabwepande.
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA NHIF KUELEKEA AFCON
-
*Serikali imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kujipanga
kikamilifu katika maandalizi ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika
(AFCON) 2027...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment