Miongoni mwa mambo na mapendekezo aliyoyataja Kocha huyu mpya anayekuja kukisuka kikosi cha Wanajangwani, Maximo, ni pamoja na kuwahitaji baadhi ya wachezaji katika kikosi chake akiwamo Mrisho Ngasa na wengineo. Kocha huyo anatarajia kuwasili nchini siku ya jumatano kwa ajili ya kukamilisha taratibu zote zilizosalia za kusaini mkataba wa kuifundisha timu ya Yanga.
Wito Watolewa kwa Wanasiasa Kulinda Amani, Kuepuka Kauli za Uchochezi
-
Amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa ni tunu muhimu zinazopaswa kulindwa
na kila Mtanzania, huku viongozi wa vyama vya siasa wakitakiwa kuwa mstari
wa...
14 hours ago

No comments:
Post a Comment