TRA wamekuwa wakipita katika mitaa kadhaa ya jijini Dar es Salaam, na kuwakamata wenye maduka ama ofisi zenye maandishi yanayotambulisha ofisi au kazi zinazofanya na ofisi ama bidhaa zinazopatikana katika maduka na kuwataka walipie kodi wakidai kuwa kila neno moja hulipiwa. Jambo hilo limewafanya baadhi ya wenye maduka na ofisi kuondoa na kufuta maandishi na majina ya maduka ama ofisi kwa kuepuka kukamatwa na kutozwa faini kama ambavyo wamekuwa wakielezwa na WanaTRA. Je kwa tangazo kama hili vipi watamdai nani? ama kwa vile limewekwa pasipo na ofisi ndiyo maana hadi leo lipo??
WALIMU SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO SIS
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKUU wa shule za sekondari na msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamejengewa uwezo wa kuandaa taarifa za shule kut...
12 minutes ago
No comments:
Post a Comment