Habari zilizoufikia mtandao huu majira ya saa tatu asubuhi zinasema kuwa Mhariri wa gazeti la Jambo leo. Willy Edward, amefariki dunia ghafla akiwa mkoani Morogoro, akiwa katika shughuli zake za kikazi. Habari kamili kuhusu taarifa hii zitawajia baada ya kupata taarifa kamili. Hata hivyo habari hizi zimetolewa na kuthibitishwa na Navile Meena.
TANZANIA YABEBA TUZO NNE ZA JUAKALI KIGALI
-
Tanzania imeibuka mshindi na kupata tuzo nne kati ya sita katika Maonesho
ya 26 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Afrika Mashariki, maarufu kama
Jua...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment