Aliyekuwa Kocha wa Stars Marcio Maximo, sasa ameweka wazi kuwa hatoweza kutua Dar kwa ajili ya kuifundisha Klabu ya Yanga, kutokana na kubanwa na mkataba alionao katika klabu yake ya Democrata ya Jijini Brazil, anayoifundisha kwa sasa. Maximo kwa kutambua hilo na kumaliza hali ya utata ameamua kumtuma Kocha msaidizi wake wanayefundisha pamoja katika Klabu hiyo, Willson Toledo ambaye pia amekuwa akiifundisha timu ya vijana chinni ya miaka 20. Toledo anatarajiwa kuwasili leo kama ambavyo imeelezwa kwa mujibu wa chanzo cha habari hii.
TGNP Yaendesha Mafunzo ya Uongozi kwa Wanafunzi wa Kike kutoka Vyuo Vikuu
13 Nchini
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), kupitia jukwaa la Young Feminist Forum,
wameendesha mafunzo kwa wanafunzi wa kike kuto...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment