Habari za Punde

*LISA JENSEN AIBUKA KIDEDEA SHINDANO LA REDD'S MISS WORLD,ATWAA TAJI LA REDDS MISS WORLD TANZANIA

 Miss Tanzania 2011, Salha Israel, akimvisha taji mwakilishi wa Redd's Miss World Tanzania, Lisa Jensen,  baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
 Pendo Laizer, akipita na vazi la ubunifu, jukwaani.
 Hamisa Hassan akipita na vazi la ubunifu, jukwaani.
 Warembo, washiriki wa shindano hilo, wakipita jukwaani na vazi la usiku.
 Warembo, washiriki wakicheza Shoo ya pamoja ya ufunguzi kabla ya kuanza kwa shindano hilo.
Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania, Ramesh Shah, akitangaza warembo walioingia katika hatua ya tano bora. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.