Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira jijini Dar es salaam leo, baada ya heshima za mwisho mwili wa marehemu ulisafirishwa kuelekea wilayani Bunda kwa maziko.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Kazi na Ajira Mhe Gaudencia Kabaka, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, na wanafamilia wa wafiwa wakitoa heshima za mwisho kwa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto kwa Rais) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira jijini Dar es salaam leo.
MHE. MCHENGERWA AWAOMBA WANARUFIJI WOTE DUNIANI KUJA KUMPOKEA RAIS SAMIA.
-
Na Yohana Kidaga- Muhoro, Rufiji
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa
Wanarufiji na Wandengereko wote duniani kufik...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment