Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi, Mhe, Mohamed Abdelaziz, baada ya kumpokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya jana jioni ambapo gwaride la Kijeshi na ngoma za utamaduni zilimlaki kwa nderemo. PICHA NA IKULU
Kikundi cha ngoma za asili kikitoa burudani, uwanjani hapo wakati wa mapokezi.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi, Mhe, Mohamed Abdelaziz,wakiangalia kikundi cha ngoma za asili kikitoa burudani, uwanjani hapo wakati wa mapokezi.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi, Mhe, Mohamed Abdelaziz,wakiangalia kikundi cha ngoma za asili kikitoa burudani, uwanjani hapo wakati wa mapokezi.
No comments:
Post a Comment