Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wake wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dkt. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein. Pichana Ramadhan Othman,Ikulu
NHC YAUNGA MKONO MAENDELEO YA UNUNUZI NA UGAVI KUPITIA KONGAMANO LA KITAIFA
-
ARUSHA-Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linashiriki katika Kongamano la 16
la Mwaka la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi jijini Arusha.
Kongamano hilo ambal...
37 minutes ago

No comments:
Post a Comment