Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKEMEA VURUGU ZA KUNDI LA UAMSHO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa vyombo vya habari mbalimbali vya Bara na Visiwani, kuhusu vurugu za kundi la Uamsho zilizotokea visiwani humo kwa siku tatu mfululizo. Mazungumzo hayo yalifanyika mjini Zanziba katika ukumbi wa Ikulu jana. Picha na Ramadhan Othuman

Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari,wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.